“Haiwezekani akawa juu ya levo ya ukamilifu! Mpaka sasa mtu pekee ambae amefikia levo ya Ukamilifu na Maono chini ya miaka therathini ni Nyakasura peke yake na ameweza kwa msaada wa damu yake ya moto wa asili ya jini ndege. Huyu Hamza kwa umri wake hata kama awe na uwezo wa juu hawezi kumzidi binadamu mwenye damu ya Phoenix. Ninachoona lazima mwili wake umepitia maboresho …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments