Reader Settings

“Kama mmeamua kuwa mashabiki endeleeni”Aliongea Hamza mara baada ya kuona wale wafuasi wa Master Farook wakianza kumpa sifa ambazo aliamini hakuwa nazo.

Mara baada ya kuongea maneno hayo , aliruka mara moja chini kuazima nguvu za miguu na ile anaruka mara ya pili aligeuka kuwa kama mshale akiruka uelekeo wa alipo Master Farook.

Mzee Farook mwanzoni alidhania kama Hamza angetaka kumfikia mahali alipo …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next