Hii mbinu tunaita nguzo ya moto, ndio msingi wa jamii yetu , ila naona sio haba kwako pia , unao uwezo wa kutembea juu ya moto”Aliongea.
Hamza huku akikunja sura , ijapokuwa aneo lote lilikuwa limezingirwa na moto lakini moto huo haukuwa wa kawaida lakini licha ya hivyo moto huo haukuwa tishio kwake.
“Nyakasura nadhani tuishie hapa . maana naona nashindwa kukusogelea kukushambulia, na mbinu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments