Reader Settings

Kimulimuli Gizani.

Hamza alianza kumfukuzia Mzee Farook , huku akimpotezea Nyakasura na moto wake . Alijiambia hata kama akifa lazima amuue kwanza Master Farook.

Lakini hata hivyo kabla hata hajamfikia , Mzee Farook alitupiwa moto na Nyakasura kwa spidi ya juu kiasi kwamba ulitoboa tumbo lake na kilichoweza kusikika ni ‘puch’.

Mzee Farook aliishia kugeuza uso wake kumwangalia Nyakasura na alijikuta akitoa ukulele wa kutotaka …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next