Reader Settings

Hamza mara baada ya kuongea hivyo , palepale alisimama kwa ajili ya kuondoka , lakini muda huo Rehema ambae alikuwa amebeba kikombe cha kahawa kwa ajili ya Hamza aliingia na alishangaa kumuona Hamza anataka kuondoka.

“Mr Hamza unaondoka baada ya kufika tu?”Aliongea na Hamza alichukua kikombe kile na bila kujali kahawa ilikuwa ya moto ama ya baridi aliipiga yote kwa mkupuo kama maji na kisha …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next