STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA KUMI NA SITA
SONGA NAYO................
"Huenda hilo nitalijua baadae, kuna kitu chochote ambacho mlikikuta eneo la tukio?"
"Ndiyo, shilingi ya zamani ndiyo ambayo aliitumia kufanyia mauaji"
"Shilingi?"
"Ndiyo, vipi una uelewa nayo?"
"Ndiyo bosi, huo uliwahi kuwa utambulisho wa Gavin Luca …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments