STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA KUMI NA SABA
SONGA NAYO................
Ilionekana kuwa familia yenye furaha kubwa ukizingatia mwanae alikuwa akimpenda mno baba yake, mwanaume huyo kwenye uso wake alikuwa amejaa ndefu ambazo zilichongwa vyema na kutunzwa kwa ustadi mkubwa. Alimtaka mkewe na mwanae watangulie ndani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments