STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA KUMI NA TISA
SONGA NAYO................
Tumboni pia palikuwa na alama kadhaa za vitu vyenye ncha kali kuwahi kupitishwa, halikadhalika kwenye bega lake la kulia karibu na shingo hali ilikuwa ni hiyo hiyo. Aliletewa shuka safi jeupe bwana huyo na kufunikwa nalo, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments