STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
SONGA NAYO................
Ni siku ambayo alijua Linda sio wake tena, kuendelea kumng'ang'ania mwanamke huyo kungezalisha maumivu mengine kwa sababu Linda alikuwa tayari kufanya kile ambacho Lucas angeamua hata kama angetaka wakimbie na kwenda mbali binti huyo alikuwa tayari …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments