Ni gari aina ya pickup iliochakaa , ilionekana ikipita maeneo ya Kiwangwa-Msata kwa spidi kubwa. Dereva wa pickup hio alikuwa ni mwanaume alievalia jacketi lenye kofia pamoja na kepu kichwani na kumfanya asionekane sura yake moja kwa moja.
Pembeni ya dereva huyo alikuwepo mwanamke alievalia nguo nyeusi huku nywele zake zilikuwa zimechanguka.
“Master tunaondoka kweli?”Aliuliza yule mwanamke kwa sauti ya kuonekana hakuridhishwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments