Reader Settings

Muda ule Asmuntis alitoa simu ndogo ya batani na kuingiza namba flani na kisha aliweka sikioni na ndani ya dakika tu simu ile iliunganishwa na upande wa pili na sauti yenye mikwaruzo ilisikika.

“Wewe mtu mchafu wa roho unanitafutia nini usiku wote huu?”

“Umesikia kuhusu habari za bosi?”

“Boss? Haha.. umeshaonana na bosi tayari. Niliongea nae jana tu hapa najua yupo Paris kwa ajili ya …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next