Reader Settings

Saa tatu kamili za asubuhi siku iliofuata Hamza alitoka nyumbani kwa Dina akipanga kuelekea moja kwa moja kazini. Siku ya jana yake alisafiri kwenda Mtwara pamoja na Dina na haikueleweka walienda kufanya nini lakini walirudi usiku sana na kumlazimu Hamza kulala hapo hapo.

Saa nne kamili za asubuhi mara baada ya Hamza kufika nje ya jengo la kampuni simu yake iliita na alipoangalia anaempigia alikuwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next