She is my wife.

Ukaribu wa Regina na Hamza ulizidi kuimarika , mara baada ya kutoka kuonana na Lamla. Regina alipendekeza watoke Out pamoja kama familia pamoja na Shangazi ,wazo ambalo licha ya kumshangaza Hamza kuona Regina kapata vipi wazo hilo lakini pia lilimfurahisha.

Baada ya kutoka kazini Regina alikwisha mpigia simu Shangazi na kumwambia asihangaike kupika usiku kwani wanaenda kula katika hoteli ya hadhi …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next