Mwanaume alijizoa hapo chini na kukimbia kwa spidi sana ilikuwa ni kama amejipiga mtama mwenyewe aliteleza kwenye maji na kuwafikia hao wanaume watatu, teke lake za mzungusho liliwakosa akainama na kujizungusha kwenye maji alikuwa anakuja na viganja vyake viwili hata hivyo alipiga hewa viliishia kutua chini ambapo maji yalitawanyika kwa nguvu alipiga zege zito ambalo lilikuwa hapo ardhi ilitetemeka, hawakuwa na hofu wale wanaume …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments