ENDELEA.....................
Ile asubuhi sikuweza hata kumpeleka chuoni niliendesha gari kwa fujo sana hata yeye alijua Kwamba sipo sawa.
"Tatizo nini?" Tangu siku ya kwanza nilipo ingia kwenye mapenzi na yule mwanamke ndipo nilipo tambua kwamba ni yeye pekee ambaye alikuwa ana uwezo wa kunituliza na sio binadamu mwingine yeyote yule. Sikumjibu chochote zaidi ya kusimamisha gari nikabeba begi langu la mgongoni na kushuka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments