ENDELEA.....................
"kuna sababu gani ya msingi ambayo inakufanya unataka niende mbali nawewe na unadhani naenda kuishije huko babu?"
"Nadhani nimekwambia nilikuwa ni mtu ambaye nilikuwa natafutwa sana hapa nchini mpaka sasa natafutwa kuliko kitu chochote kile najua nina muda mchache sana wa kuendelea kuwa huru au kuwa hai sina muda mrefu sana wa kusema nitakuwa salama na kuendelea kukulinda miaka 14 inakutosha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments