Reader Settings

ENDELEA......................

"Mimi hapa nina miaka 76 na hili gereza limejengwa mwaka ambao mimi nimezaliwa maana yake gereza hili limeanzishwa miaka 76 iliyopita na sio 200 kama unavyohisi wewe"

"Kwanini historia inadanganya sana namna hii?"

"Historia ni maandishi tu ambayo wanayaandika wanadamu kama wewe sasa wakiamua kuyapindisha watashindwa nini? Unaweza ukasimuliwa historia ya kitu lakini unakuja kuujua ukweli kwamba katika uliyo simuliwa yote hakuna lenye …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next