ENDELEA.................
"Jina langu naitwa Aami Amadou Mbaye..."
"Hapana hapana hapana huo ni uongo" mtaalamu Qader aliipinga kauli ya mwanaume ambaye alidai kwamba siku ya leo alihitaji yeye amjue ni nani, kwake mara ya kwanza alikuwa anamjua kama Jiti Maalimu afisa usalama wa taifa lakini baadae alikuta mambo ni tofauti na wala hakuwahi kumjua mtu huyo ni nani, kwa mara ya mwisho mwanaume huyu alimsaidia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments