ENDELEA.............................
Kama Kuna mtu yeyote atakuja kukudanganya kwamba CIA ni shirika la kawaida usithubutu kumwamini na kujiroga ukaingia kwenye njia ya hao watu huwa ni watu wa kutisha mno unapo kitana nao hakuna sehemu ya huu ulimwengu unaweza kuwakimbia wakiamua kukufuatilia, huwa wanafanya kazi sambamba na FEDERAL BEURAL INVESTIGATION (FBI) japo ni taasisi mbili tofauti ila Kuna baadhi ya vitu huwa wanashea pamoja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments