ENDELEA....................
"Kuna baadhi ya binadamu wakiwa wazima wa afya huwa wanajidanganya kusema MUNGU hayupo hii kauli haina ukweli wowote,MUNGU yupo na kila kinacho endelea anakiona vizuri tu siku ile nilijikuta nimejaa imani sana kichwani nilimuomba MUNGU aweze kunisaidia nitoke salama pale tu na nisingerudia tena kufanya lile tukio ila bahati mbaya sana mpaka leo naendelea kuua. Nilifika chini kwenye lile bwawa la kuogelea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments