ENDELEA.......................
Baridi Kali ndilo lililo mkurupua kutoka kwenye usingizi ambao alihisi pengine ni usingizi wa kifo, mwilini mwake alikuwa na nguo ya ndani tu, akiwa bado amelala chini aliangaza huku na huku alikuwa anaziona taa tu kwa mbali haikumpa shaka kwamba bado alikuwa mjini ila kilicho mshangaza ni hali ya ubaridi maana sehemu ambayo yeye alikuwa akiishi alizoea sana kuhisi joto muda wote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments