Reader Settings

ENDELEA...........................

Ndani ya hospitali ya mkoa wa Arusha waliingia wanaume watatu bila wasiwasi, ni wale ambao tumewaona wakiwa wanashuka airport ya KIA, walinyoosha moja kwa moja katika sehemu ya mapokezi wakiwa tayari wamefanya mauaji kwa dereva tax ambaye aliwabeba mpaka kuwafikisha hapo kutoka airport.

"Dada samahani naweza kumpata mganga mkuu wa hii sehemu?" Aliuliza yule mweusi kati ya wale wanaume watatu ambaye …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next