STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
SONGA NAYO................
"Yule ambaye amekuleta humu ndani unafahamiana naye?" lilikuwa swali la kwanza kutoka kwa mwanamke huyo.
"Hapana"
"Naitwa Nandi, nipo kwenye hii biashara ya kuuza mwili wangu kwa miaka mitano sasa japo sioni mwelekeo wa maisha yangu. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments