STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI
SONGA NAYO................
“Kwanini?”
“Huyo ni mtu hatari sana”
“Nampatia wapi?”
“Kwa huku mtaani sisi hatujui makazi yake yanapatikana wapi, huwa tunamuona mara moja kwa miezi sita”
“Kwahiyo hujui naweza kumpata vipi?”
“Ndiyo”
“Ila unajua mtu ambaye anaweza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments