STORY: IDAIWE MAITI YANGU
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
STORYTELLER: BUX THE STORYTELLER
WHATSAPP: 0621567672
EMAIL: [email protected]
AGE: 18+
********************
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
SONGA NAYO................
“Mhhhhh huyo bwana mdogo alizaliwa pekeyake kwao”
“Sio kweli aliyekupa hizi taarifa hakuwa akiujua ukweli. Walikwambia nipo mwenyewe lakini kipindi cha miaka mitano wametumia muda kumtafuta mtu ambaye wewe ulipewa kazi uweze kumuua ndipo wakahisi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments