ENDELEA.............................
Kilichokuwa kinatokea pale hakuna ambaye alikuwa anakiamini kilikuwa kinashangaza, yule black alipigwa bila kujua kapigwa na nani, alijipanga na kurudi tena kwa spidi pale ambapo alikuwa amesimama Kanivasi alijipinda na moja ya teke safi kuelekea kwenye shingo ya mtu ambaye yeye hakuwa na muda nae zaidi ya kuendelea kuivuta sigara yake bila pupa kabisa, black alishtuka na kuguna kwa sauti baada ya kupokea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments