Reader Settings

ENDELEA..........................

Kwenye zile picha tatu ambazo Aariz wewe unamuita Alen mimi namuita Zakaria Mansour alidondoshewa zilikuwa zinaonekana sura za watu watatu tofauti kabisa na hakuonekana kuwajua hata kidogo, aliinyanyua ya kwanza na kuiangalia kwa umakini sana alimtazama mwanaume ambaye alikuwa kwenye hiyo picha alikuwa kama na asili ya kihindi na kiarabu mwili ukiwa umechafuka sana kwa michoro ya nyoka na maua meusi na …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next