Prince of hell(Lucifer.)
Hamza alishangaa kumuona mke wake akiwa amesimama na wafanyabiashara mashuhuri waliovalia suti zilizowapendeza, akiongea nao. Hamisa na Zuberi pia walikuwa pamoja na Regina. Kundi hilo la watu lilikuwa limegubikwa na tabasamu, lakini kama ungesikiliza kwa ukaribu, ungejua kinachoendelea hapo ni kama kuna mdahalo uliokuwa ukiendelea.
“Samahani sana Miss Regina, nilishakaa chini na kufanya maongezi na kampuni ya Kilimanjaro Group kwa ajili ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments