ENDELEA.....................
Unahisi labda sijui? Hapana mimi najua najua tena najua sana kwamba hapa naongea na raisi wa nchi hii, lakini kwa bahati mbaya sana kitu ambacho umeniuliza hapa ni kitu ambacho siwezi kukujibu nipo radhi kufa, nipo radhi kufanya kitu chochote kile lakini hakuna kitu ambacho ninaweza kuufungua huu mdomo wangu na kuyatamka maneno unayo yataka hapa, hakuna mwanadamu ambaye anaweza kufanya niseme hicho …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments