ENDELEA...................
Joto kali ndilo lililo muamsha kutoka usingizini, alihisi huenda kuna mtu anachoma vyuma jirani ila baadae alikuja kugundua kwamba huenda kwa nje ni jua lilikuwa limewaka hivyo alikuwa na uhakika kwamba hiyo lazima ilikuwa ni asubuhi jua limechomoza, Zakaria aliamka na kukaa chini, alivuta kumbukumbu za matukio ambayo aliyafanya kwa watu ambao aliambiwa ni waasi alitikisa kichwa chake kuonekana kwamba alikuwa anasikitika sana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments