ENDELEA.........................
"Yes hiyo ndiyo sababu inayo mfanya huyo mtu anatafutwa sana na hao wana familia wawili"
"Aliua watu wote hao kwenye hiyo familia kisa nini?"
"Sikuwahi kuijua sababu ya msingi sana mpaka siku ambayo nilikutana na kijana mwingine wa hiyo familia ndiye ambaye alienda kuniambia ukweli wa mambo upoje, huyo ndiye aliye nipa tahadhari juu ya huyo mtu, nasikia ni jitu la ajabu sana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments