Reader Settings

ENDELEA...................

Hakuwa na uhakika sana ila usikivu wa masikio yake ulimtekenya kwenye ngoma za masikio kwamba usikivu wake ulikuwa sahihi na wala hakukurupuka, sauti hiyo haikuwa mara ya kwanza kuisikia kwenye masikio yake ndiyo sababu alisita kwa kile alichokuwa anataka kukifanya akiwa mwingi wa taharuki (kiwewe), jina lake la siku zote Zakaria lilikuwa linamfanya kuwa kiumbe cha kuogofya ila mwangwi wa ile sauti …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next