Reader Settings

“Mr. Kaird, usiwe na wasiwasi, hata kama Regina ana koneksheni kubwa, lakini nikuhakikishie tutafanya kazi nzuri tuki…”

Zuberi alitaka kumfariji Kaird lakini kabla ya kumaliza sentensi yake, Kaird aliingilia;

“Haina haja, Mr. Zuberi, hatuna mpango tena wa kufanya kazi pamoja. Makubaliano yetu tuliokubaliana mwanzo nayafuta kuanzia sasa,” aliongea Kaird huku aking’ata meno kwa hasira.

“Nini! Kwanini unaenda kinyume na maneno yako?” Wote Hamisa na Zuberi …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next