ENDELEA..........................
DAR ES SALAAM na VITONGOJI VYAKE
Hali ilikuwa tulivu sana kama ilivyokuwa kawaida kwa jiji hili pendwa kama wengi wanavyopenda sana kulinakshi na kuliita hivyo, watu wake walikuwa wanayafurahia maisha ya mkoa wao kwa sababu utulivu ulikuwa upande wao hali ya joto la kutosha uliwafanya kuvaa nguo nyepesi nyepesi na wengine kutembea vifua wazi, ni hali ya kawaida sana ndani ya hili jiji …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments