ENDELEA....................
Mheshimiwa raisi aliondoka akiwa mwenye hasira kali sana kwa taarifa allizokuwa amezipata, aliliondoa gari yake kwa spidi Kali mno, hakukumbuka hata kwenda kwenye ile nyumba yake ambayo ndiko alitoka kwa siri mno, alipitiliza mpaka ndani ya Ikulu wakati gari hiyo inafika getini ilizuiliwa japo ilikuwa ni gari ya ikulu ilikuwa ni lazima ikaguliwe kwanza kabla ya kuruhusiwa kuingia ndani, alishusha kioo walinzi walishtuka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments