Reader Settings

ENDELEA.......................

Karimu alizidi kushangaa sana rafiki yake huyo ambaye alimuona kama muuza chipsi tu mjini hapa japo ni jasusi ila hakuwahi kumpa uzito mkubwa sana kiasi hicho, mara ya Kwanza alihisi mtu huyo anamtania ila muda ulivyokuwa unazidi kwenda alianza kuona mwanaume huyo yupo serious sana, Kwanza alimwambia taarifa hizo zinatafutwa kwa mabilioni ya pesa, kitu cha pili alimwambia anaenda kumpa taarifa chache …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next