Reader Settings

ENDELEA.................

Mheshimiwa raisi wa nchi ya Tanzania mheshimiwa Alan Mwaiponela alikuwa amekaa kiti cha kando akiwa ananangaliana na mzee Khalfan Hamis ambaye alitajwa na Qader kwamba ndiye aliyeweza kumsaidia kuingia ndani ya nchi hii ya amani, kwa muda wote huo ambao alikaa mbele ya mheshimiwa raisi hakujua kama pembeni yake kulikuwa na mtu mwingine.

“Haya mambo umekuwa ukiyafanya kwa muda gan?”

“Mambo yapi …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next