Reader Settings

ENDELEA.................

“Kwamba hujui au unanitania?”

“Mhhhhhh umezungumzaje kiwepesi hivyo kwamba wale watu ndio walio muweka madarakani? Mbona ni kitu ambacho hakiwezekani?”

“Yule sio mheshimiwa raisi kama wengi wanavyojua ila nacho kijua mimi ni kwamba yule mtu alimuua mheshimiwa raisi na kujibadilisha mwonekano wake na hilo alilifanikisha kupitia wale watu wake kumi ndio maana nimeshangaa wewe umewezaje kuwakimbia watu ambao wanasemwa kuwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next