STORY: GEREZA LA HAZWA
STORY WRITER: FEBIANI BABUYA
STORY TELLER: Bux the story teller
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
UKURASA WA SABINI NA NANE
ENDELEA.....................
“Ni kijana wangu” mkurugenzi wa usalama wa taifa aliongea akiwa mnyonge sana mbele ya mheshimiwa raisi.
“Kijana wako kivipi” raisi aliuliza kwa sauti yake nzito
“Ni miongoni mwa vijana wangu wa usalama wa taifa”
“Are you serious?”
“Ndiyo mzee”
“How?”
“Hata mimi sijui hiki …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments