Alan Mwaiponela raisi wa nchi ya Tanzania alishangaa vitu viwili, cha kwanza kujibiwa kwamba hicho kitu hakikuwa cha kweli wakati alihakikishiwa na mtu mmoja ambaye alikuwa anaitwa Kanivasi Zagota baada ya raisi wa nchi ya Libya kumwambia kwamba hawakuwa na mtu kama huyo ndani ya nchi yao lakini jambo la pili lilikuwa ni kwanini mtu huyo amkatie simu kabla hata hawajamaliza maongezi yao? Alijiuliza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments