Chumba kikubwa chenye thamani za gharama sana kilikuwa kimepambwa na sauti za watu wawili ambapo mmoja wao alionekana kuwa kwenye maumivu tofauti kabisa na mwenzake ambaye alikuwa akiongea kwa kujiamini sana, Aami Amadou Mbaye pamoja na Qader ndio ambao walikuwa humo ndani baada ya Aami kuweza kumtorosha kwenye ile nyumba sehemu ambayo alikuwa chini ya ulinzi wa usalama wa taifa, Qader bado alikuwa kwenye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments