Reader Settings

Alen aliingia ndani ya nyumba ya mrembo huyo baada ya kukaribishwa na Kwenda kuketi kwenye moja ya sofa la aina yake ambalo lilikuwa zuri sana

“Karibu” aliongea kwa sauti yake nyororo iliyo jaa utulivu mrembo Josephene

“Asante sana”

“Utatumia nini?”

“Maji tu ya moto inatosha” mwanaume alikuwa hatumii vitu vya baridi na akifanya hivyo basi ilikuwa ni mara chache sana, mrembo huyo akiwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next