Reader Settings

“Alikuwa ni mcheshi sana Karimu ili kunitoa tu hofu ambayo nilikuwa nayo alijikuta ananisimulia mambo mengi sana ambayo yalikuwa yametokea kwenye maisha yake mpaka namna alivyoweza kuingia ndani ya jeshi la polisi, nilijikuta nainjoi sana kwa kila neno ambalo alikuwa analitamka mbele yangu ilifika sehemu tulijikuta tumezoeana sana”

“Unaitwa nani dada” bado aliendelea kuliheshimu jina la dada hata licha ya kuonekana kwamba tulikuwa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next