Josephine uso wake ulipoteza nuru baada ya kuona mwanaume ambaye alikuwa ametegemea jibu zuri kutoka kwake alikuwa kama vile hana habari naye kabisa hata Alen aliweza kuliona jambo hilo.
“Josephene?”
“Abee”
“Una hitaji kuwa kwenye mapenzi namimi?”
“Ndiyo”
“Kwanini umeniamini ghafla kiasi hicho mtu ambaye hujanijua vizuri natokea wapi? naishije? Uhalisia wangu upoje? Huoni kama unayahatarisha maisha yako?” alimuuliza kistaarabu sana akiwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments