Chumba kilikuwa kimya sana kila mtu alikuwa anamsikiliza mtu ambaye alikuwa amewakutanisha humo ndani, ndani ya chumba hicho kulikuwa na wanaume nane ambao miili yao ilikuwa imekatika katika sana kwa mazoezi pamoja na mwanaume mmoja ambaye yeye mwili wake ulipendezeshwa na suti safi sana kwa siku hiyo. Wote ambao walikuwa humo ndani walikuwa wameyaelekeza macho yao kwa huyo mwanaume mwenye suti ambaye alikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments