Reader Settings

Alen alimwelekeza dereva tax huyo kwamba wapitie Manzese hakuwa na namna ya kukataa ilikuwa ni lazima atimize kile ambacho mteja wake alikuwa anakihitaji, walifika karibu kabisa na club ya Tip-Top gari ilisimama yeye akashuka na kumuahidi dereva huyo kwamba angerudi ndani ya muda mfupi ujao, mshangao juu yake haukuisha kutoka kwa watu ambao walikuwa wanapita pembeni yake alikuwa haendani na hayo mazingira kabisa hata …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next