ENDELEA……………………………………
Baada ya kushuhudia mambo hayo ya kutisha kwenye uso wake aliinamia chini kwa dakika kumi na tano, baada ya hapo aliuinua uso wake na kuiangalia sana picha ya huyo kijana ambaye alikuja kufanya hilo tukio mbele yake, aliiruhusu video hiyo iendelee mbele ambapo ilikuwa ni asubuhi alipo amka Kani alimtafuta mwanamke huyo chumba na nyumba nzima bila mafaniko mpaka baadae alipo mkosa alitoka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments