Reader Settings

Kwa ukubwa na misuli ya mkono ile ilitosha kuogopesha kila mtu aliekuwa karibu.

“Jitu chuma ! Gonzalez!”

Watu waliongea kwa nguvu katika hali ya kushangaa, mara baada ya kuona mtu goliati alievalia vazi la ngozi akiwa amezuia shambulizi la Asmuntis kwa mkono wake tu.

Mbele ya mtu huyo ilikuwa ni kama simulizi ya Daudi na Goliathi katika biblia. Gonzalez alikuwa mrefu kwenda juu na alimwangalia …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next