ENDELEA………………………………….
Rikardo na msafara ambao ulikuwa upo naye ukiwa unaongozwa na George walishuka eneo ambalo hata yeye Rikardo alikuwa akilijua vyema sana waliongoza wote kwa pamoja mpaka ndani, huko walikuwa wanahifadhiwa watu ambao walikuwa wanafanya makosa ndani ya idara hiyo ya usalama wa taifa, alisindikizwa na George mpaka ndani ya selo moja aliingia kisha George akafunga na kumwangalia mwenzake huyo kwa huruma sana alijua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments