ENDELEA………………………….
Rikardo alishtuka sana baada ya kutajiwa hilo jina kwa sababu ndilo lililokuwa jina lake la siri ambalo alikuwa analitumia kuweza kufanyia kazi zake za siri hususani mtandaoni ambako alikuwa anatengeneza pesa nyingi sana kwa kuuza taarifa za siri mno, alimwangalia kwa umakini mheshimiwa ambaye alijua kama akicheza vibaya na mzee huyo alikuwa anakufa hapo hapo na kufikia hapo alijua ni wazi wanajua kwamba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments